TY - BOOK AU - Rwabushaija ,Milton TI - Masomo ya Msingi wa KiswahiliI M: Kitabu cha Kwanza SN - 9789970020416 U1 - REF2004/02 PY - 2004/// CY - Uganda PB - Fountain Publishers N1 - Kitabu hiki kinakusudiwa kutosheleza mahitaji ya wanafunzi na walimu wa Lugha ya Kiswahili katika shule za upili nchini Uganda. Kinalenga hasa wanafunzi wanaojitayarishia mitihani ya Baraza la Kitaifa la Mitihani (UNEB) ya kidato cha nne na cha sita. Misingi thabiti ya kisarufi inahimizwa katika kila taaluma ya lugha ,kama vile kusoma na kufahamu na kuandika na kufupisha. Nia kuu ya mkabala huu ni kuhakikisha kwamba wanafunzi ambao Kiswahili si lugha yao ya kimalezi hawatatikizi kwa vyovyote .Kitabu pia kinazingatia sana kutumia mifano na vielelezo kutoka mazingira halisi ya humu nchini ER -