Local cover image
Local cover image

Masomo ya Msingi wa KiswahiliI M Kitabu cha Kwanza

By: Material type: TextLanguage: Kiswahili Publication details: Uganda Fountain Publishers 2004Edition: 1st.ed 1999Description: 100p. ;ill 17x25cmISBN:
  • 9789970020416
DDC classification:
  • REF2004/02
Tags from this library: No tags from this library for this title. Log in to add tags.
Star ratings
    Average rating: 0.0 (0 votes)
Holdings
Cover image Item type Current library Home library Collection Shelving location Call number Materials specified Vol info URL Copy number Status Notes Date due Barcode Item holds Item hold queue priority Course reserves
Reference Goethe Zentrum - Kampala Library REF2004/02 (Browse shelf(Opens below)) Not for loan 2025-0356

Kitabu hiki kinakusudiwa kutosheleza mahitaji ya wanafunzi na walimu wa Lugha ya Kiswahili katika shule za upili nchini Uganda. Kinalenga hasa wanafunzi wanaojitayarishia mitihani ya Baraza la Kitaifa la Mitihani (UNEB) ya kidato cha nne na cha sita. Misingi thabiti ya kisarufi inahimizwa katika kila taaluma ya lugha ,kama vile kusoma na kufahamu na kuandika na kufupisha. Nia kuu ya mkabala huu ni kuhakikisha kwamba wanafunzi ambao Kiswahili si lugha yao ya kimalezi hawatatikizi kwa vyovyote .Kitabu pia kinazingatia sana kutumia mifano na vielelezo kutoka mazingira halisi ya humu nchini .

There are no comments on this title.

to post a comment.

Click on an image to view it in the image viewer

Local cover image